Breaking News

BREAKING: Katibu Mkuu wa CHADEMA kafika Makao Makuu ya Polisi, DSM

on

Habari nilizozipta muda huu ni kwamba Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Vincent Mashinji, akiambatana na wasaidizi wake kutoka Makao Makuu ya Chama hicho, amewasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Dar es Salaam.

Dr. Mashinji amefika Makao Makuu hayo kuitikia wito wa Jeshi la Polisi uliotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Gilles Muroto, kuwa anatakiwa kufika Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI).

Ayo TV na millardayo.com zinafuatilia na zitakujuza zaidi!!!

ULIPITWA? Katibu Mkuu wa CHADEMA kuwekwa ndani saa 48

KUHUSU TUNDU LISSU! ADC YALAANI, YAPAZA SAUTI

Soma na hizi

Tupia Comments