Habari za Mastaa

Movie mpya ya Transfomers inatoka weekend hii, cheki ratiba yake na nyingine pia.

on

0Wapenzi wa movie za Transfomers weekend hii ni yenu kwasababu Transformers Age of Extinction inaanza kuonekana kwenye theater za hapa Tanzania. Kama bado haujacheki trailer yake angalia hapa na ukacheki kwenye theater uipendayo.

1

2

3

Tupia Comments