Top Stories

PICHA 10 za muonekano wa baadhi ya mitaa ya Posta, Dar es Salaam

on

DAR ES SALAAM ni miongoni mwa Majiji katika Bara la Afrika ambayo hutajwa kukua haraka kiuchumi na kuwa kivutio kwa watu wengi ambao hutaka kuutemebelea na kujionea namna mandhari yake ya kupendeza yanavyovutia.

Sasa leo nimetembelea katikati ya Jiji hilo na kufanikiwa kuzinasa picha hizi 10 zinazoonesha mandhari ya baadhi ya mitaa ya Posta.

EXCLUSIVE: Mtanzania aliyeacha kazi Bank ya Dunia ili ashone nguo

Soma na hizi

Tupia Comments