Top Stories

JAJI MKUU TZ KAJIBU: Uhuru wa Mahakama Kenya vs Tanzania

on

Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamis Juma alikutana na Waandishi wa Habari kwa mara ya kwanza September 22, 2017 tangu ateuliwe rasmi kwenye nafasi hiyo na miongoni mwa aliyoyajibu na kutolea ufafanuzi ni kuhusu Uhuru wa Mahakama za Tanzania vs Kenya.

Hatua hiyo imekuja baada ya siku za hivi karibuni watu kutoa maoni kuwa Mahakama ya Kenya imekuhuru kufuatia kufuta matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika August 8, 2017 nchini humo.

EXCLUSIVE: Mbunge wa CHADEMA baada ya kuachia huru na Mahakama

Soma na hizi

Tupia Comments