Top Stories

WCB walivyogawa chakula nyumbani kwa RC Makonda

on

Jana September 22, 2017 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda alifanya hafla ya kuwashukuru Madaktari na Askari wa mkoa wa Dar es Salaam nyumbani kwake.

Katika hafla hiyo team yote ya WCB ilihusika katika kupakulia chakula wote waliofika kwenye shughuli hiyo wakiongozwa na Mwanamuziki wa bongofleva Diamond Platnumz ambaye pia ni mmiliki wa label hiyo ya muziki.

Ulipitwa na hii? BOMOABOMOA DSM: Bibi kaongea ‘Kiingereza’ kusisitiza huzuni

Soma na hizi

Tupia Comments