Video Mpya

AudioMPYA: Mdundo mwingine mpya kutoka kwa Producer Abbah wa kuusikiliza

on

millardayo.com inakukaribisha kusikiliza mdundo mpya kutoka kwa mtayarishaji wa muziki wa Bongofleva Producer Abbah huku ndani ya mdundo huo wamesikika wakali hawa Jaivah, Hanstone, Afromaniac, Byter Beast, na Blaqboi wimbo unaitwa ‘WANGA’.

PLAY hapa chini kuusikiliza.

Yusuph Mlela kafunguka “Namuelewa sana Mimi Mars anavutia akiingia hapa hawezi kutoka”

Chuchu Hans “Siwezi kusikia Wivu Johari na Ray Kigosi, kuishi na Ray mwenyewe akiamua”

 

Soma na hizi

Tupia Comments