Top Stories

PICHA 9: Mfanyabiashara Yusuf Manji leo Mahakamani

on

Mfanyabiashara Yusuf Manji leo September 25, 2017 ameanza utetezi wake katika kesi ya dawa za kulevya inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo ushahidi wake utasikilizwa kwa siku tatu mfululizo kuanzia leo.

Katika siku hii ya kwanza, Manji katumia dakika 215 ambazo ni zaidi ya saa tatu kujitetea katika kesi hiyo.

“Ninao ushahidhi Madiwani wanaohamia CCM wananunuliwa” – MBUNGE NASSARI

Soma na hizi

Tupia Comments