Top Stories

RC Mwanza alivyoacha Ofisi na kukaa nje kuhudumia Wananchi

on

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella katika kuhakikisha anawahudumia wananchi wa Mwanza aliamua kutoka nje ya Ofisi yake na kusilikiza kero na matatizo ya wananchi waliofika Ofisi kwake huku akiahidi kuwafuata wananchi wa Wilaya ya Ilemela kutatua migogoro ya ardhi na matatizo mengine.

Aidha, RC Mongella pia ametoa agizo kwa Watendaji wote wa Idara ya Ardhi kutosafiri wala kwenda likizo ili kujibu shida za wananchi.

ULIPITWA? Serikali imekichukua kiwanda cha Ngozi Africa Tanneries, Mwanza

“Mara nyingi tafiti haziunganiki na mazingira halisi” – RC Mongella

Soma na hizi

Tupia Comments