Habari za Mastaa

BAADA YA KUZAA NA HAMISA: Zari amuonya Diamond “USINIJARIBU”

on

Mwimbaji staa wa Bongofleva Diamond Platnumz September 19, 2017 amehojiwa na LEO TENA ya CLOUDS FM Dar es salaam na kueleza kwa mara ya kwanza kuhusu ishu ya Mtoto wa Hamisa.

Diamond Platnumz alifunguka na kukiri kuwa mtoto aliyejifungua Hamisa Mobetto ni wake huku akisema alishazungumza na mzazi mwenza (Zari) kuhusiana na ishu hiyo lakini cha kushangaza ni kwamba wakati mahojiano hayo yakiendelea, Zari aliandika mtandaoni na kumuonya Diamond kuhusu uongo wake “USINIJARIBU”

Bonyeza play hapa chini kupata mkanda mzima……

“Nilimwambia Zari kuhusu mimba niliyompa Hamisa” – DIAMOND

Soma na hizi

Tupia Comments