Top Stories

PESA ZA MAYWEATHER: Katuonesha ndani ya jumba lake la Tsh BILIONI 56.7

on

BONDIA wa Marekani ambaye anashikilia rekodi ya kutopigwa hata pambano moja katika mapambano 50, Floyd Mayweather ambaye anasifika kwa matumizi makubwa akinunua magari, nyumba kwa gharama kubwa, leo katika kudhihirisha fedha alizokuwa nazo katunesha ndani ya kasri yake alilonunua hivi karibuni Beverly Hills, California.

Unaambiwa jumba hilo lina thamani ya pound Milioni 18.9 ambazo ni zaidi ya Tsh Bilioni 57 likiwa na ukumbi wa cinema wenye uwezo wa kuingiza watu 50, vyumba sita vya kulala na mabafu 10.

Mbowe asema alipo Dereva wa Lissu na kwanini hakuripoti Polisi

BREAKING NEWS: Freeman Mbowe karudi Dar, kaongea yote ya Tundu Lissu kwa mara ya kwanza toka alipopigwa risasi

Soma na hizi

Tupia Comments