Top Stories

DC MULEBA! Baada ya dhoruba kuangusha nyumba 30

on

Kufuatia mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali katika Wilaya ya Muleba, Kagera na kusababisha maafa makubwa kwa wananchi ikiwemo kupoteza makazi na mazao ya chakula, DC wa Muleba Eng. Richard Luyango amefika kwa ajili ya kufanya tathimini.

KAGERA TENA: Dhoruba nyingine yaangusha nyumba 30

Soma na hizi

Tupia Comments