Top Stories

PICHA 8: Ujenzi Kituo kipya cha Polisi Oyster bay unaendelea

on

Mradi wa ujenzi wa Kituo kipya cha Polisi Oyster Bay unaendelea ambapo umefikia katika hatua nzuri ambayo inatia matumaini kwamba wakati wowote utakamilika na kuanza kufanya kazi kama ilivyotarajiwa.

Kwenye hizi picha chini utajionea maendeleo ya ujenzi huo kwa sasa!!!

Kufuatia shambulio la risasi dhidi ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, watu 30 na Magari wakamatwa Dodoma, Dereva wake aitwa…tazama kwenye hii video!!

Soma na hizi

Tupia Comments