Top Stories

KAMANDA MUSLIM! Adhabu kwa madereva waliovunja sheria barabarani

on

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Fortunatus Muslim jana Sepetember 28 2017 alitoa tamko la kuwafutia leseni madereva waliovunja taratibu na sheria za Usalama Barabarani ambapo madereva saba wa mabasi ya mikoani wakifungiwa kuendesha magari ya abiria.

“Hatuogopi mtu, hawa wote tutawachukulia hatua” -Waziri Mpango

Soma na hizi

Tupia Comments