Top Stories

Agizo la Waziri Mwigulu “Tusitafute ugomvi na Serikali za Nchi hizi…”

on

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba amezuru mkoani Kagera kukagua maeneo ya mpakani mwa Tanzania na Uganda na kuacha maagizo kwa wananchi wa Mtukula ambao ndio mpaka wa Tanzania na Uganda akiwataka kuhakikisha wanatoa ushirikiano wa kutosha kwa kutoa taarifa kwa vyombo vya ulinzi na usalama wanapobaini uwepo wa vitendo vya kihalifu ili zichukuliwe hatua stahiki.

Aidha, Waziri Mwigulu amesema, mtu atakayeshindwa kutoa taarifa huku akimfahamu na kumkumbatia mhalifu vyombo vya usalama havitomuacha na kuwasihi kutumia njia halali katika shughuli zao.

PROF TIBAIJUKA! Kaeleza changamoto baada ya Rugemalira kuwa matatizoni

Soma na hizi

Tupia Comments