Top Stories

AVEVA, KABURU MAHAKAMANI: Ni kesi yao ya kutakatisha fedha

on

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo September 9, 2017 imeutaka upande wa Mashtaka kuwa wakweli katika upelelezi wa kesi inayomkabili Rais wa Simba SC, Evans Aveva na Makamu wake, Geofrey Nyange ‘Kaburu’.

Hayo yamesemwa na Hakimu Mkazi Mkuu, Victoria Nongwa baada ya Wakili wa Serikali, Nassor Katuga kudai upelelezi wa kesi hiyo bado haujakamilika na wangali wanasubiri nyaraka kutoka kwa mtaalamu wa maneno.

Baada ya kueleza hayo, Hakimu Nongwa akautaka upande wa mashtaka kuwa wakweli na kuhakikisha upelelezi ukamilika na ameahirisha kesi hiyo hadi September 18, 2017.

“Sikuja kutafuta Mchumba” – Rais Magufuli

Rungwe afunguka baada ya kuachiwa kwa dhamana

Soma na hizi

Tupia Comments