Top Stories

Naibu Waziri Mpina asimamia Viwanda viwili vikiandikiwa faini DSM

on

Naibu Waziri Mpina alifanya ziara ya kushtukiza katika eneo la viwanda Mikocheni Dar na kubaini uharibifu wa mazingira unaofanywa na viwanda Bidco na Basic Element Ltd ambapo aliwapiga faini ya Tsh Milioni 10 ambapo zinatakiwa zilipwe ndani ya wiki mbili.

ULIPITWA? Mkurugenzi wa jiji DSM alivyotozwa faini ya Tsh. 25m…ilipwe ndani ya siku 14

Soma na hizi

Tupia Comments