Top Stories

“Kwa yanayoendelea hakuna mwenye uhakika wa maisha” – Hussein Bashe

on

Mbunge wa Nzega Mjini Hussein Bashe leo September 8, 2017 alisimama Bungeni Dodoma kuomba muongozo kwa Spika kumuomba kuunda Kamati ya Ulinzi na Usalama kuchunguza matukio ya uhalifu yaliyowahi kufanyika kwa baadhi ya wananchi akiwemo Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ili kubaini chanzo cha matukio hayo.

“Hakuna aliye salama, hili linaichafua Serikali” – Nape Nnauye

Soma na hizi

Tupia Comments