Top Stories

BREAKING: TAMKO la Wazee wa CHADEMA mbele ya Wanahabari leo

on

BARAZA la Wazee wa CHADEMA, leo October 1, 2017 limekutana na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama hicho yaliyopo Kinondoni, Dar es Salaam na kuzungumzia kuhusu hali za wazee na kufikisha ujumbe kwa Watanzania kuhusu hali ya wazee.

BREAKING: Polepole azungumza baada ya kikao cha Hamashauri Kuu ya CCM Taifa

Soma na hizi

Tupia Comments