Top Stories

Yusuf Manji kasubiri saa 96 kabla ya kurudi Mahakamani leo (+Pichaz)

on

Headlines za Mahakamani bado zinaendelea kuandikwa kuhusu Mfanyabiashara maarufu Yusuf Manji ambapo kiasi saa 96 sasa zimepita tangu kuachiwa kwake huru na Mahakama ya Kisutu September 14, 2017 katika kesi ya Uhujumu Uchumi baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka ‘DPP’ kuwasilisha hati ya kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi dhidi yake.

Sasa leo September 18, 2017 Yusuf Manji amerudi tena kwenye headlines baada ya kufika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwenye kesi nyingine ya dawa za kulevya inayomkabli ambapo Mahakama itasikiliza ushahidi wa utetezi kwa siku tatu mfululizo kuanzia September 25 hadi 27, 2017.

millardayo.com imefika Mahakama ya Kisutu na kuzinasa picha 9 za Yusuf Manji!!!

BREAKING: Mahakama ya Kisutu imemuachia huru Yusuf Manji

Soma na hizi

Tupia Comments