Top Stories

RPC MWANZA kaeleza kuhusu aliyeteka mtoto akadai Milioni 3 M-PESA

on

Mwishoni mwa August kuliripotiwa tukio la kutekwa mtoto wa miaka saba Mwanza kisha mtekaji kuomba atumiwe kiasi cha fedha Tsh Milioni Tatu kwenye M-PESA ili amrudishe mtoto huyo ambapo Jeshi la Polisi Mwanza lilifanikiwa kumkamata mtuhumiwa na baada ya kumhoji alionesha aliko mtoto.

Sasa leo September 9, 2017 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Ahmed Msangi ameeleza full stori kuhusu kilichofanyika baada ya mtuhumiwa wa utekaji aliyedai Milioni 3 na kutaka kutumiwa pesa M-PESA kukamatwa na kumhoji.

BREAKING: Watu 30, Magari 8 yakamatwa baada ya Lissu kupigwa risasi

Soma na hizi

Tupia Comments