Top Stories

“Ninao ushahidhi Madiwani wanaohamia CCM wananunuliwa” – MBUNGE NASSARI

on

Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari na Godbless Lema wa Arusha Mjini wamekutana na Waandishi wa Habari leo na kusema madiwani wa CHADEMA wanaojiunga CCM wanahongwa akisema kuwa anao ushahidi wa kutumika rushwa kwa madiwani wa CHADEMA kuhongwa na kurudi CCM.

Nassari amesema Madiwani hao wamekuwa wakinunuliwa kwa fedha, vyeo na ahadi za ajira ambapo ameomba kukutana na Raisi Magufuli ili ampatie ushahidi huo na endapo atashindwa kuthibitisha atajiuzulu Ubunge

“Sina sababu ya kumjibu Godbless Lema kuhusu Lissu” – MUSUKUMA

Freeman Mbowe karudi Dar, aongelea yote ya Tundu Lissu kwa mara ya kwanza

Soma na hizi

Tupia Comments