Top Stories

BREAKING: Nyumba zaidi ya 30 zakumbwa na Kimbunga, Kagera

on

Nyumba zaidi ya 30 katika Wilaya ya Muleba, Kagera zimeezuliwa na kimbunga kilichosababishwa na mvua inayoendelea kunyesha huku ripoti zikionesha baadhi ya mazao yameharibiwa na kimbunga hicho.

Ayo TV na millardayo.com zimewapata baadhi ya wananchi waliokumbwa na kadhia hiyo na wamekubali kuelezea tukio zima lilivyotokea kama unavyoweza kuona kwenye hii video hapa chini…

Waziri Nchemba karudi Jimboni kwake na maamuzi mapya

Soma na hizi

Tupia Comments