Habari za Mastaa

Bday Party ya Diamond 2017

on

Staa wa bongo fleva Diamond Platnumz jana October 2, 2017 alifanya party ya kusheherekea siku yake ya kuzaliwa katika hoteli ya Hyatt Regency ambayo ilihudhuriwa na watu wake wa karibu wakiwemo mastaa mbalimbali, familia, ndugu, jamaa na marafiki.

Ulipitwa na hii? PARTY YA DIAMOND: iliyofanyika kwenye boti (Yatch) DSM

Soma na hizi

Tupia Comments