Habari za Mastaa

VIDEO: Mtoto wa Monalisa alivyotoa misaada kwa yatima, Paula ameingia mitini?

on

Mtoto wa Monalisa, Sania ameamua kuitumia siku ya leo february 14, 2018 siku ya wapendanao kusambaza upendo kwa kuwaongoza wanafunzi wenzie wa shule ya Tusiime kwa kutoa michango kwa watoto wasiojiweza baada ya kupata matokeo mazuri ya kidato cha nne.

AyoTV na millardayo.com zilikuepo eneo la tukio ambapo zimepata baadhi ya matukio ikiwemo vilio vilivyotawala baada ya Sonia na mama yake Monalisa kukabidhi zawadi kwa watoto hao na kisha kuzungumza nao. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO.

VIDEO: Kutoka msibani Wakazi katoa updates na makubaliano ya wasanii waliofika msibani

Soma na hizi

Tupia Comments