Habari za Mastaa

PICHA 9: Mastaa wa Bongofleva kwenye msiba wa mtoto aliyeuawa Arusha

on

Ijumaa September 8, 2017 mastaa mbalibali pamoja na viongozi wa Mkoa wa Arusha wakiongozwa na RC Mrisho Gambo wameuaga mwili wa mtoto Maurine David Njau ambaye aliuawa na mwili wake kutumbukizwa kwenye shimo baada ya kutekwa.

Viongozi mbalimbali wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, RPC Mkumbo na wasanii wa Bongofleva pamoja na Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Ruge Mutahaba wamefika kutoa heshima za mwisho.

Soma na hizi

Tupia Comments