Top Stories

FURSA 2017: “Hakuna wa kukuletea chakula, lazima ukitafute” – Ruge Mutahaba

on

Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba alikuwa miongoni mwa watu waliopata nafasi ya kutoa darasa fupi kwa washiriki wa uzinduzi wa Fursa 2017 uliofanyika Morogoro ambao huambatana na msimu wa Fiesta.

Katika uzinduzi huo ambao mgeni rasmi alikuwa Naibu Spika wa Bunge Dr. Tulia Ackson, Ruge Mutahaba amesema ni miaka mitano sasa tangu Fursa ianze ambapo huwafikia vijana katika mikoa yote ya Tanzania kuzungumza nao na kuona namna wanaweza kujikwamua kutoka sehemu moja kwenda nyingine.

ULIPITWA? FURSA 2017: “Mtu mvivu nitamfukuza” – Dr Tulia…tazama kwenye hii video hapa chini!!!

Soma na hizi

Tupia Comments