Top Stories

“Tuwatumie Wafungwa wenye ujuzi kuzalisha mali” – Waziri Mwigulu

on

Leo August 28, 2017 Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba wakati wa uzinduzi wa nyumba tano mpya za Maafisa wa Magereza. Arusha ameeleza kuwa ni vizuri wafungwa wenye ujuzi ambao wamemaliza vifungo watumiwe katika shughuli mbalimbali za uzalishaji mali nchini.

Waziei Mwigulu ameyasema hayo wakati anazindua nyumba tano za Maafisa wa Magereza Arusha zenye thamani ya Tsh. Milioni 261 ambazo zimejengwa na mafundi wa Magereza pamoja na Wafungwa.

Naye Kamishna Jenerali wa Magereza Dr. Juma Malewa amesema Jeshi hilo lina upungufu wa nyumba 9,800 lakini wanamshukuru Rais Magufuli kwa kutoa Tsh. Bilioni 10 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za maaskari.

ULIPITWA? Polisi watoa majibu ya uchunguzi Ofisi za Mawakili kulipuliwa…tazama kwenye video hii!!

Soma na hizi

Tupia Comments