Top Stories

Maneno 20 kayaandika Lema baada ya Ofisi za Wakili wa Manji kuvamiwa

on

Moja ya stori zilizo-make headline jana September 12, 2017 ni pamoja na kuvamiwa kwa Ofisi za Wakili Hudson Ndusyepo ‘Prime Attorneys’ ambaye anamtetea Mfanyabiashara Yusuf Manji ambapo nyaraka kadhaa zimeibiwa.

Kuvamiwa kwa Prime Attorneys kunakuja siku 18 baada ya kuvamiwa na kulipuliwa kwa Ofisi za IMMMA Advocates ambapo watu wamekuwa wakilaani tukio hilo na miongoni mwao ni Mbunge Godbless Lema ambaye ni Mbunge wa Arusha Mjini.

Kupitia Twitter yake Lema aliandika>>>Kitendo cha ofisi ya Mawakili wa Manji kuvamiwa ni hatari kwa Uhuru wa mahakama, baada ya Mawakili wataokafuata ni Majaji.”

ULIPITWA? Ofisi nyingine za Mawakili zavamiwa Dar es Salaam!!!

Soma na hizi

Tupia Comments