Habari za Mastaa

NIYONZIMA KAFUNGUKA: Ni kuhusu uhusiano wake na Jini Kabula, mkewe je?

on

Kabla ya Jini Kabula kuwa katika matatizo aliwahi kunukuliwa akisema aliwahi kuwa mapenzini na staa wa soka wa Simba SC, Haruna Niyonzima na kuzua mzozo kwenye mitandao ya kijamii kwa kuwa Niyonzima kwenye ndoa hivyo kumsababishia matatizo ndani ya familia yake.

Ayo TV na millardayo.com zimempata Haruna Niyonzima kwenye EXCLUSIVE na kufunguka kila kitu akisema hakuwahi kuwa mapenzini na msichana huyo licha ya kwamba kuzungumza kwenye vyombo vya habari.

Aidha, kuhusu mkewe kulisikia hilo alisema haikuwa rahisi kuchukulia kawaida ingawa ni muelewa na alijaribu kuelewa jambo hilo.

Bonyeza Play hapa chini kumsikia Niyonzima

VideoFUPI iliyosambaa !! Ni harusi ya Diamond na Zari?

Soma na hizi

Tupia Comments