Magari 10 ya gharama ya mastaa wa soka Ulaya 2015…(Pichaz)
July 9, 2015
Share
2 Min Read
SHARE
Moja ya starehe za mastaa wengi wa soka duniani ni pamoja na kutembela magari ya kifahari..ukiachilia utajiri wa magari ya kifahari anayomiliki bondia mwenye utajiri mkubwa Floyd Mayweather..wapo mastaa wa soka ambao nao wameingia kwenye list ya kutembelea magari ya kifahari zaidi.
Hawa ni mastaa 10 wa soka Ulaya ambao mbali ya kuingiza mkwanja mrefu kupitia kazi yao ya soka pia wanatembelea magari ya kifahari….
Gari aina ya Buggati Veyron anayomiliki staa wa soka duniani Christiano Ronaldo..gharama yake ni dola 1,7000,000Ronaldinho anamiliki gari aina ya Buggati Veyron yenye thamani ya dola 1,800,000Eto’o ni mpenzi wa magari na amekua akimiliki magari mengi ya kifahari.. naye pia ni mmoja wa mastaa wanaomiliki gari aina ya Buggati VeyronZlatan Ibrahimovic anamiliki gari aina ya Porsche ambayo ina thamani ya €768,000Neymar Dos Santos ndiye mchezaji ghali zaidi Brazil: anamiliki gari aina ya Audi R8 GT lenye thamani ya paundi 246,000 Mesut Özil anamiliki gari aina ya Ferrari 458 yenye thamani ya paundi 169,000Frank Lampard anamiliki Ferrari Scaglietti612 yenye thamani ya paundi 200,000 Wayne Rooney anamiliki Aston Martin Vanquish S, thamani yake ni 150,000Lionel Messi anamiliki Audi R8 Spyder lenye thamani ya paundi 102,385Gareth Bale anamiliki Audi R8 GT, thamani yake ni paundi 246,000
Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> TwitterInstaFB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.