AyoTV

Hotuba ya Waziri Mkuu iliyogusia tukio la Lissu, hali ya usalama wa Nchi

on

Leo September 15, 2017 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitoa hotuba ya kuhitimisha Mkutano wa Nane wa Bunge la 11 ambapo litaendelea tena hadi October 4, 2017 na miongoni mwa mambo aliyozungumzia ni pamoja na hali ya ulinzi na usalama wa nchi ulivyo kwa sasa.

BREAKING: Aliyemkodia Lissu Ndege kafunguka “Nimesikitika sana

Soma na hizi

Tupia Comments