Top Stories

Mkutano wa Wakuu wa Polisi unaoendelea Uganda, IGP Sirro kahudhuria

on

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro amehudhuria Mkutano wa 19 wa Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi ya Nchi za Mashariki mwa Afrika ‘EAPCCO’ ambao umeanza September 13 na utamalizika leo September 15, 2017 katika Mji Mkuu wa Uganda, Kampala.

Mkutano huo una lengo la kujadili kwa pamoja namna ya kupambana na uhalifu unaovuka mipaka (Cross Border Organized Crimes) na kubadilishana uzoefu wa kiutendaji pamoja na kuimarisha ushirikiano miongoni mwa Majeshi ya Polisi.

HATUA KWA HATUA! RC Mwanza alivyotumia saa 9 kuhudumia wananchi 208

Soma na hizi

Tupia Comments