Video Mpya

VideoMPYA: Barnaba katualika kuitazama hii mpya ‘Mapenzi Jeneza’

on

Mwimbaji staa wa Bongofleva, Barnaba amerejea tena kwenye Television na mara hii katualika kuitazama video ya wimbo wake mpya ‘Mapenzi Jeneza’…itazame hapa na ukishamaliza kuitazama usisahau kudondosha comment yako ili mkali huyo akipita asome maoni kutoka kwa watu wake.

ZARI: “Wamejichezea wenyewe wakidhani wananichezea mimi”

Soma na hizi

Tupia Comments