Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Taarifa za wanaokejeli na kulishambulia Bunge, zimefika Ofisi ya Bunge

on

September 20, 2017 Taarifa kutoka Ofisi ya Bunge imeeleza kuwa siku za hivi karibuni kumeibuka tabia kwa baadhi ya Wanasiasa na wananchi kulishambulia Bunge na viongozi wake kwa kutoa maelezo potofu kwamba Bunge la Kumi na Moja halina meno, halitekelezi wajibu wake ipasavyo na kwamba limetekwa na Serikali.

Aidha, taarifa hiyo imesema kuwa kwa kutumia lugha za kejeli, matusi na uchochezi watu watu hao wamekuwa wakilikebehi Bunge na Viongozi wake.

Ulipitwa na hii? BUNGENI: Maswali makubwa 7 siku ya mwisho Mkutano wa Nane

Hii je? “Hivi nyie watu gani, haya ndio malipo kwa Spika?” – Job Ndugai

Soma na hizi

Tupia Comments