Habari za Mastaa

PICHA 15: Mastaa wa Bongo Movie walivyozindua BARAZANI

on

Usiku wa September 15, 2017 mastaa mbalimbali wa tasnia ya Filamu Tanzania walikusanyika katika uzinduzi wa huduma mpya iliyozinduliwa na Wadau wa Filamu Tanzania BARAZANI ambayo itamuwezesha mteja kununua filamu aipendayo kupitia simu yake.

millardayo ilikuwepo eneo la tukio na imezinasa picha 15 ambazo unaweza kuzitazama hapa!!!

GOOD NEWS! Huduma mpya iliyozinduliwa kununua BongoMovie kwa simu yako

Soma na hizi

Tupia Comments