Top Stories

AJALI YA MC PILIPILI: Aliyekuwa naye kafunguka, aeleza kila kitu

on

September 12. 2017 zilitoka taarifa ambazo zilikuwa zinaelezea tukio la ajali ambayo ilimuhusisha Mchekeshaji maarufu Bongo MC Pilipili na wenzie ratatu wakiwa katikati ya Nyasamba na Bubiki, Shinyanga ambapo alikimbizwa Hospital ya Bugando Mwanza kwa matibabu.

Tangu amekuwa Hospital kuna taarifa zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba yupo katika chumba cha Wagonjwa Mahututi ‘ICU’ sasa Ayo TV na millardayo.com zimempata mmoja ya majeruhi wa ajali hiyo na amefunguka kila kitu.

BREAKING: Aliyemkodia Lissu Ndege kafunguka “Nimesikitika sana”

Soma na hizi

Tupia Comments