AyoTV

Aliyemkodia Tundu Lissu Ndege kafunguka “nimesikitika sana”

on

Baada ya Spika wa Bunge Job Ndugai Sept. 14 kulieleza Bunge kwamba Mbunge wa Mpendae Salim Hassan Turky ndio alijitolea kuagiza ndege ya kumsafirisha Mbunge Tundu Lissu kwa ajili ya kumpleka Nairobi, Kenya yalizuka maneno.

Sasa Mbunge Turky mwenyewe amejitokeza na kuzungumzia yote kuhusu hiyo ishu ya kumpeleka Tundu Lissu kwa ndege kutibiwa kufuatia risasi alizopigwa Dodoma.

“Hivi nyie watu gani, haya ndio malipo kwa Spika?” – Job Ndugai

Soma na hizi

Tupia Comments