Top Stories

PICHA 7 za gari iliyozama Ziwa Victoria na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 10

on

Jumatatu October 9, 2017 kulikuwa na stori kutoka Kanda ya Ziwa katika Mkoa wa Mwanza ambapo kulikuwa na ajali iliyoripotiwa kutokea baada ya gari aina ya Toyota Hiace kuzama kwenye Ziwa Victoria katika eneo la Kigongo Ferry na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 10.

MOTO ARUSHA! Mwalimu kasimulia Wanafunzi zaidi ya 100 wanavyolala Msikitini

Soma na hizi

Tupia Comments