Wanikijiji wa Ololosokowani katika Wilaya la Ngorongoro, akiwemo Mwenyekiti wa Kijiji Kerry Dukanyi wameiomba Serikali kuingilia kati zoezi la mnada wa ng’ombe 630 kati ya 1,000 waliokamatwa bila kufuata taratibu wakidaiwa kuingia kwenye hifadhi.
Baadhi ya wanakijiji hao wameeleza kusikitishwa na kitendo kilichofanywa kukusanya mifugo yao ambayo wanasema ilikuwa ndani ya mipaka ya kijiji kisha kupigwa mnada huku wengine wakisema kabla ya kuchukuliwa kwa ng’ombe hao walitishiwa kupigwa risasi.
BOMOABOMOA DSM: Bibi kaongea ‘Kiingereza’ kusisitiza huzuni