Top Stories

IGP Sirro kawataka Wananchi wa Mererani kulinda miundombinu

on

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro amewataka Wananchi wa Mererani kushirikiana na Jeshi la Polisi na kuhakikisha wanalinda miundombinu na rasilimali na kutowafumbia macho wahalifu ambao huhatarisha amani na usalama wa nchi.

IGP Sirro alikuwa Mererani, Manyara wakati wa ziara ya President John Magufuli ambaye yupo katika ziara ya kikazi katika mikoa ya Arusha na Manyara kukagua shughuli za maendeleo.

Katika ziara hiyo, Rais Magufuli alifungua Barabara ya kiwango cha lami yenye urefu wa kilomita 26 kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro, KIA.

“Inawezekana Mungu alikosea kuweka Tanzanite kwa Watanzania” – President JPM

Soma na hizi

Tupia Comments