Top Stories

PICHA 7: Makumbusho ya Olduvai Gorge yaliyofunguliwa leo Arusha

on

Jumanne October 3, 2017 Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amefungua Makumbusho ya Olduvai Gorge yaliyopo katika Wilaya ya Ngorongoro, Arusha ambapo baadhi ya vilivyomo ndani yake ni nyayo za binadamu wa kwanza na Fuvu la binadamu wa kale.

Jengo la Makumbusho hayo limegharimu Tsh Bilioni 1.7.

TANESCO Kagera ilivyowashukia wezi wa umeme

Soma na hizi

Tupia Comments