AyoTV

Msukuma kamjibu RPC Geita baada ya Polisi kupiga mabomu wananchi

on

Mwenyekiti wa CCM Geita ambaye ni Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Msukuma amefunguka baada ya Jeshi la Polisi Geita kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi walioandamana wakiwemo madiwani kuutaka mgodi wa dhahabu wa Geita kulipa deni lao la Dola Milioni 12.6 ambazo ni zaidi ya Bilioni 29.

MBUNGE MSUKUMA: Kaelezea kuhusu kuishia Darasa la Saba, kaeleza kila kitu

Mbunge Msukuma kamjibu Tundu Lissu kuhusu Bombardier

Soma na hizi

Tupia Comments