Siku kadhaa zilizopita, Mamlaka ya Mapato Tanzania ‘TRA’ ilitangaza kuwa kuanzia October 1, 2017 mtu yeyote anayetaka kuvuka mipaka iwe ama kuingia au kutoka nje ya nchi akiwa na fedha taslimu zaidi ya Dola za Kimarekani 10,000 ni lazima atoe taarifa na kupewa fomu maalumu yenye maelezo kuhusu fedha hizo ili aijaze.
Ayo TV na milaardayo.com zimempata Mkurugenzi wa Idara ya Elimu na Huduma kwa Walipa Kodi wa TRA, Richard Kayombo kwenye huu ufafanuzi ambao unaweza kuutazama mwanzo mwisho kwenye video hii hapa chini.
Mbunge wa Karagwe kwenye soka tena, Mil 20 zimehusika