Top Stories

Matumizi ya Bilioni 227.76 za msaada ilizopokea Wizara ya Afya

on

Kuhakikisha huduma za afya zinatolewa kwa kiwango kinachostahili, Wizara ya Afya imepokea msaada wa Tsh Bilioni 227.76 kutoka Mfuko wa pamoja (Health Basket Fund) kufadhili shughuli mbalimbali za afya nchini.

Akizungumza na Waandishi wa habari leo September 11, 2017 wakati wa kupokea fedha hizo , Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Mpoki Ulisubisya amesema fedha hizo zitaelekezwa katika kuboresha huduma za afya nchini.

>>>”Fedha hizi zitasaidia pia kutoa huduma za chanjo kwani ni afya muhimu kwa wananchi hususan katika kupunguza vifo vya mama wajawazito na watoto wenye umri chini ya miaka mitano.” – Dkt. Ulisubisya.

Yameulizwa maswali mengi leo Bungeni, lakini hili la elimu bure…

Soma na hizi

Tupia Comments