Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: ”Tulipekua jikoni, tukakuta bangi juu ya Kabati” – Shahidi kesi ya Wema Sepetu
Share
Notification Show More
Latest News
Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
March 22, 2023
Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’
March 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > ”Tulipekua jikoni, tukakuta bangi juu ya Kabati” – Shahidi kesi ya Wema Sepetu
Top Stories

”Tulipekua jikoni, tukakuta bangi juu ya Kabati” – Shahidi kesi ya Wema Sepetu

September 12, 2017
Share
2 Min Read
SHARE

Ofisa kutoka Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Inspekta Wille ameiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa alikuta msokoto wa bangi kwenye Kabati la vyombo la Wema Sepetu.

Inspekta Wille ameyaeleza hayo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba wakati akiongozwa na Wakili wa Serikali, Constantine Kakula kutoa ushahidi katika kesi ya dawa za kulevya inayomkabili Wema na wenzake.

Akitoa ushahidi wake Mahakamani hapo, alidai kuwa anakumbuka February 4, 2017 aliitwa na Mkuu wake wa kazi na kupewa jukumu la kufanya upekuzi nyumbani kwa Wema ambapo aliongozana na Maofisa wenzake pamoja na Wema hadi nyumbani kwa Wema Ununio.

Alidai baada ya kufika nyumbani kwa Wema walimkuta dada wa kazi ambaye walimuomba waonane na Mjumbe wa Shina la maeneo hayo.

>>>”Mjumbe alifika na tulimwambia tunataka kufanya uchunguzi katika nyumba hiyo ili kutafuta dawa za kulevya.”

Shahidi huyo alidai kuwa kabla hawajaingia ndani, Wema aliomba wakati upekuzi unafanyika dada yake awepo na alipofika akawapeleka ndani.

>>>”Tulianza kupekua jikoni, ambapo juu ya Kabati la vyombo tulikuta msokoto mmoja wa Bangi na Lizra. Pia tukaingia kwenye chumba cha Wema anapohifadhia nguo ambapo tukakuta msokoto mmoja unaodhaniwa ni Bangi juu ya dirisha.”

Aidha, amedai kuwa baada ya hapo walifanya uchunguzi ndani ya chumba cha wadada wa kazi ambapo walikuta msokoto wa Bangi uliotumika ndani ya Kibiriti na baadaye walijaza hati ya ukamataji, kisha kuondoka na Wema hadi Kituo cha Polisi.

>>>”Hivyo, February 8, 2017 tulimpeleka Wema Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali kwa ajili ya kufanya vipimo vya mkojo, tulivyomaliza vipimo tulikabidhi sampuli hiyo.”

Baada ya kuelez hayo, shahidi huyo aliiomba Mahakama ipokee kielelezo hicho cha ukamataji mbele ya Mahakama ambapo hata hivyo, Wakili wa utetezi Peter Kibatala alipinga kupokelewa kwa hati hiyo, akidai ina mapungufu kisheria.

Kutokana na mvutano huo, Hakimi Simba ameahirisha kesi hiyo hadi September 13, 2017 kwa ajili ya kutoà uamuzi wa kupokea kielelezo hicho ama la.

NYUMBA ZAIDI YA 90 ZACHOMWA MOTO, NI AGIZO LA RC KAGERA

You Might Also Like

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

TAGGED: Mahakamani, TZA HABARI, Wema Sepetu
Millard Ayo September 12, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Mwanamke mwizi aiba gari ya polisi baada tu ya kukamatwa…ilikuaje?
Next Article Rais JPM kafika Lugalo kumjulia hali Meja Jen. Mstaafu aliyepigwa risasi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
Top Stories March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
Top Stories March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
Top Stories March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
Top Stories March 22, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

March 22, 2023
Top Stories

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

March 22, 2023
Top Stories

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

March 22, 2023
Top Stories

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

March 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?