Top Stories

UKWELI KUHUSU NGUVA: Ni SAMAKI au BINADAMU? Je, analiwa?

on

Nadhani utakuwa mmoja wa watu wanaojiuliza au waliojiuliza siku nyingi kuhusu kiumbe NGUVA, je, ni SAMAKI au BINADAMU? Je, anafaa kwa kitoweo.

Kwenye video hii hapa chini, Ayo TV na millardayo.com zinaye kwenye EXCLUSIVE interview Zephania Arnold ambaye anajibu maswali yote na kutulezea kila kitu kuhusu NGUVA

KASA! Kiumbe anayeweza kusababisha kifo kwa Mlaji

Soma na hizi

Tupia Comments