Top Stories

“Hakuna aliye salama, hili linaichafua Serikali” – Nape Nnauye

on

Mbunge wa Mtama Nape Nnauye ni miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kutoa maoni yao baada ya tukio la kushambuliwa kwa risasi Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake Dodoma September 7, 2017

BUNGENI! TAARIFA YA SPIKA KUHUSU LISSU “Risasi kati ya 28-32 zilitumika”

Soma na hizi

Tupia Comments