Top Stories

LIVE: Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, Uwanja wa Amaan Zanzibar

on

Kutoka Visiwani Zanzibar, zinafanyika sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru ambazo zinaambatana na maadhimisho ya miaka 18 ya kifo cha Baba wa Taifa, Hyati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika Uwanja wa Amaan.

Tazama LIVE kwenye youtube ya Millard Ayo VIA TBC1

MWANZA: Akamatwa akijifanya mtumishi wa Jiji na kukusanya ushuru

Soma na hizi

Tupia Comments