Top Stories

TCRA imekuja na mpango huu wa kudhibiti rushwa

on

Leo July 16, 2018 Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imezindua Rasimu ya Mkataba ya Huduma kwa Mteja (Client Service Charter) yenye lengo la kupata ufanisi na uwazi katika kazi.

Akizungumza na waandishi wa habari Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Mhandisi James Kilaba amesema uwepo wa mkataba huo itakua ni kinga muhimu ya kuzuia malalamiko ambayo yanatafsiriwa na wananchi kuwa ni vitendo vya rushwa.

“TCRA itatumia mkataba huu kama nyenzo muhimu katika juhudi zake za kuzuia na kupambana na rushwa kama ilivyopatiwa uzito mkubwa na Rais Dr. John Magufuli,” amesema Mhandishi Kilaba

Alichozungumza Wema baada ya Mahakama kushindwa kutoa hukumu

Soma na hizi

Tupia Comments