Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Piere kafunguka michongo mipya anayopata “Wanawake wananisumbua sana”

on

Baada ya picha kusambaa mitandaoni zikimuonesha Pierre akiwa anazidi kupata michongo AyoTV na millardayo.com zimekutana na Pierre akiwa kapata shavu lingile ambapo kazungumza na moja ya jambo ambalo ameligusia ni pamoja na warembo kumsumbua huku yeye akidai kuwakwepa.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama FULL INTERVIEW.

VIDEO: Kasheshe za Pierre zinaendelea, amehama Liquid? kafunguka ‘Naingiza Pesa’

Soma na hizi

Tupia Comments